Kiingereza – Hatua kwa Hatua

Jinsi ya kulipia PlayStore ukitumia Airtel:

1) Bofya kwenye kitabu chochote kilichofungwa
2) Bofya nunua ufikiaji
3)  Chagua: lifetime (maisha yote-lipa mara moja tu) au monthly (kila mwezi-ghairi wakati wowote)
4) Chagua Airtel Money, Voda Airtime au Tigo Pesa
Bofya add (ongeza)
5) Kisha ubofye enable (wezesha)
6) Weka Nenosiri/Password la GMail
Nenda Nyumbani tena
Una vitabu 10!

Jinsi ya kughairi usajili kwenye Google PlayStore:

1) Bofya Akaunti
2) Bofya Dhibiti

*Kumbuka: Akaunti ni Account kwa Kiingereza, Dhibiti ni Manage. Ikiwa unatumia programu ambayo haina chaguo hizi, Kwanza tazama A.1 hadi A.3 hapa

3) Chagua Cancel (ghairi). Pause ikiwa unataka kuacha kwa sasa lakini uendelee baadaye, Cancel ikiwa ungependa kusimamisha kabisa.
4) Ukurasa huu unakuuliza tena ikiwa ungependelea kusitisha (pause) – ikiwa ungependa kughairi (cancel), sema tu No, thank you (Hapana, asante) na uendelee.
5) Ukurasa huu unauliza kwa nini unaghairi. Ikiwa huzungumzi Kiingereza, unaweza kuchagua tu Decline to answer (kataa kujibu) na uendelee.
6) Inakwambia hautatozwa tena na inauliza tena ikiwa una uhakika. Bofya cancel (ghairi).
7) Ukurasa huu unathibitisha kuwa usajili wako umeghairiwa. Unaweza kuendelea kutumia programu hadi mwisho wa mwezi ambao tayari umelipia.

Jinsi ya kughairi malipo ya kila mwezi kwa programu yoyote ya Google Play Store

A.1) Bofya kwenye PlayStore
A.2) Bofya hapa
A.3) Chagua Payments and subscriptions (malipo na usajili) na ubofye programu unayotaka kughairi malipo.
A.4) Endelea kutoka 3) (hapo juu)

Jinsi ya kulipia PlayStore ukitumia MPesa (Kenya)

1.
2.
3. Chagua: lifetime (maisha yote-lipa mara moja tu) au monthly (kila mwezi-ghairi wakati wowote)
4.
5.
6.
7.
Share This